Hatimaye madereva wa mabasi na malori wameamua kusitisha mgomo
leo baada ya Serikali kuwahakikishia kuwa inaandaa utaratibu mzuri wa
kujibu na kushughulikia matatizo yao.
Mgomo huo ulioanza jana umesababisha usumbufu
mkubwa kwa raia sehemu nyingi nchini Tanzania ambao walikuwa wamejiandaa
kusafiri kuelekea katika mikoa mingine jana na leo kwa ajili ya
shughuli zao mbalimbali zikiwemo za kibiashara na kijamii.
Taarifa zilizotufikia ni kwamba Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni Paul Makonda akiwa na viongozi wengine wa Serikali walifika
katika kituo cha mabasi yaendao mikoani cha ubungo na kuzungumza na
madereva hao wakiwataka wasitishe mgomo wao na kuanza kazi kwani mambo
yao Serikali inayafanyia kazi na hivi karibuni watajibiwa.
Kufuatia hali hiyo maderva hao walikubaliana na
ombi hilo la Serikali baada ya kutokea kwa Mwenyekiti wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe ambaye naye aliwasihi waache mgomo
huo kwani Serikali itafanyia kazi maombi yao.
Habari zilizotufikia
hivi punde kutoka Kituo cha Masi Ubungo, Dar es Salaam, ni kwamba mabasi
ya abiria yameanza kuondoka chini ya ulinzi mkali wa polisi kueleka
mikoni.
Mabasi hayo yalishindwa kuondoka jana hadi leo asubuhi baada ya madereva
wa mabasi hayo kuoma wakiitaka Serikali iingilie kati mgogoro wao na
wamiliki wa mabasi kuhusu mikataba yao ya ajira.
Mabasi ya Shabiby yametoka kwa escort ya police, lakini taarifa na
habari zinazoendelea ni kuwa abiria nao wanapanga ikifika saa 6 mchana
wanazuia magari yote yanayopita barabara ya morogoro hususani ya
serikali.
Update hii inakujua toka hapa Ubungo:
Kuna gari hapa min bus imejaa askali kanzu ambao wengine wamevaa mabomu
wakishuka na wanatoa upepo wa tyres za magari.
Tayari Waziri Mkuu Kivuli, Mbowe tayari ameshafika Ubungo na kuangalia
nini kifanyike, kutokana na Waziri mkuu husika kukataa.
Pia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paulo Makonda ameshafika katika kituo
hicho, wako pamoja na Mbowe.
Askari wakiimarisha ulinzi katika Kituo cha Mabasi Ubungo
Basi la Shabiby likijiandaa kuondoka Ubungo asubuhi
Baadhi ya abiria waliokwama Ubungo
Nauli za leo ni balaa:
1. Ubungo - Buguruni (Noah 1000, Bajaj 1000, Canter 500)
2. Ubungo - Mbagala (Noah 3000, Canter 2000, Bajaj 2000)
3. Ubungo- Kariakoo (Canter 3000, Noah 4000, Boda Boda 10,000 usiulize
jioni kurud ubungo ni shilingj ngapi)
4. Kutoka Gongo la Mboto hadi Kariakoo Kilikuu sh. 4000
Serikali inatakiwa kufanya ufumbuzi wa haraka kuhusu mgomo huu wa
madereva wa mabasi ili wananchi wasiendelee kupata adha na mateso.
Posted by Richard Mwaikenda at Tuesday, May 05, 2015 0 comments Email
ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
ELIMU ZAIDI YATAKIWA KUBADILI JAMII KUTHAMINI MAALBINO
DSC_0016Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema
mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye akiwakaribisha mameneja wa Redio za
jamii nchini (hawapo pichani) walioshiriki kwenye mafunzo ya siku moja
ya kutoa elimu kwa Redio za jamii nchini juu ya kuandaa vipindi vyenye
ujumbe sahihi wa masuala yanayohusu watu wenye Albinism iliofanyika
katika kituo cha Redio Jamii Sengerema hivi karibuni. Katikati ni Afisa
mtetezi na ushawishi kutoka shirika linaloshughulika na watu wenye
Albinism la Under The Same Sun (UTSS), Kondo Seif na kulia ni Ofisa
Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la
Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph.
Na modewjiblog team, Sengerema
Ofisa mtetezi na ushawishi kutoka shirika linaloshughulika na watu wenye
Albinism la Under The Same Sun (UTSS) Kondo Seif, ameitaka jamii
kuungana kupiga vita imani potofu zinazosababisha mauaji kwa watu wenye
albinism.
Alisema jamii ikiamka na kuamua kumaliza tatizo hilo, mauaji hayo
yatakoma.
Kauli hiyo aliitoa katika semina ya siku moja ya elimu kwa Redio za
jamii nchini juu ya kuandaa vipindi vyenye ujumbe sahihi ya masuala
yanayohusu watu wenye Albinism iliofanyika katika kituo cha Redio Jamii
Sengerema mkoani Mwanza hivi karibuni.
Kondo alisema katika jamii kumekuwa na imani potofu ambapo Albinism
wamekuwa wakiitwa majina yanayolenga kunyanyapaliwa na kusababisha
kushamiri kwa vitendo vya ukatili na mauaji dhidi yao.
Aliitaka jamii kutambua kuwa albinism ni hali ya ukosefu wa rangi asilia
mwilini inayoathiri ngozi, macho na nywele na ni nadra hali hiyo
kupatikana na haiambukizi kama watu wengine wanavyodhani.
Aidha ametaja jina sahihi la Kiswahili lililokubaliwa na baraza la
Kiswahili Tanzania kuitwa watu wenye albinism kuwa ni watu wenye
ualbino.
Alisema watu wenye ualbino wamekuwa wakikabiliwa na changamoto za
kukosekana kwa taarifa sahihi zinawagusa wao kama ngozi kushindwa
kuhimili jua, uoni hafifu na kupungua kwa usalama.
Kwa mujibu wa Takwimu za shirika hilo watu wenye Albinism zaidi ya
albino 70 nchini Tanzania wameuawa, zaidi ya 30 wamekatwa viungo vyao na
makaburi ya watu wenye Albinism 20 yamefukuliwa.
Ameviomba vyombo vya habari kushiriki kikamilifu kutoa elimu sahihi kwa
jamii ili kustawisha maisha ya watu wenye Albinisms kuwa kufanya hivyo
maendeleo yao, jamii na taifa kwa ujumla yataimarika.
Awali akizungumza na washiriki wa semina hiyo Ofisa Miradi ya
Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu
na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph aliwataka waandishi wa
habari kuzingatia matumizi sahihi ya lugha wanapoandika habari na
kuandaa vipindi vinavyozungumzia masuala ya Albinism.
Pia amesisitiza kuandaa vipindi vinavyobeba ujumbe sahihi wa kuelimisha
jamii juu ya masuala yanayohusu Albinism ili kubadilisha mitazamo ya
jamii ili kuwathamini, kuwalinda, kuwaheshimu na kuwashirikisha katika
maendeleo.
Sambamba na hilo amevitaka pia kubeba jukumu kubwa la kuhamasisha
wananchi kushiriki kikamilifu zoezi la uandikishaji katika daftari la
kudumu la mpiga kura na kutoishia kujiandikisha tu bali wajitokeze
kupiga kura kuwachagua viongozi ambao ni Madiwani, Wabunge na Raisi
October 2015 pamoja na kuipigia kura katiba inayopendekezwa wakati
ukifika.
Ameongeza katika matukio hayo muhimu ya kitaifa watu wenye Albinism
wahamasishwe kushiriki kikamilifu vile vile na makundi mengine kama
wanawake, vijana, watu wenye ulemavu, wazee na makundi mengine maalum.
Read more »

MVUA YASABABISHA MAFURIKO MOSHI VIJIJINI,MBUNGE LUCY OWENYA AWAFARJI
WAATHIRIKA.
Mafuriko makubwa yamevikumba vijiji saba
kikiwemo kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri miundombinu pamoja na
makazi ya watu kujaa maji.
Mbunge wa viti maalumu ,Lucy Owenya
(Chadema) (kulia)akiwa ameongozana na diwani wa kata ya Arusha Chini
,Rojas Mmari alipotembelea kujionea athari zilizotokana na mafuriko
hayo.
Mbunge Lucy Owenya akitembelea maeneo yaliyo
athirika na mafuriko hayo.
Mbunge Lucy Owenya akitizama sehemu ambayo
wananchi walilazimika kuibomoa kwa kushirikiana na uongozi wa kiwanda
cha TPC ili kuruhusu maji kupita.
Eneo lililobomolewa ili kuruhusu maji ya
mafuriko kupita.
Baadhi ya nyumba zilijaa maji hali
iliyowalazimu wahusika kutoa itu vya ndani nje.
Wengine walilazimika kuweka vyakula juu ya
mabanda ya kuku.
Baada ya maji kujaa wengine walilazimika
kuhamishia magodoro yao juu ya paa la Choo.
Hata vyakula ambavyo vingi vyao vililowa na
maji vilianikwa juu ya paa.
Mbunge Lucy Owenya akitizama namna ambavyo
baadhi ya wananchi walivyoamua kuokoa vitu ya kwa kuianika juu ya
paa.
Mifugo pia liathirika na mafuriko
hayo.
Kutokana na hali hiyo Mbunge Lucy Owenya
alilazimika kutoa msaada wa chakula kwa waathirika wa mafuriko
hayo
Mbunge Lucy Owenya akimfariji mmoja ya
waathirika wa mafuriko hayo aliyekuwa akilia kwa uchungu baada ya
kupoteza vitu vyake mbali,mbali ikiwemo vyeti vya taaluma ya
utabibu.
Mbunge Lucy Owenya akikabidhi msaada wa
chakula kwa wananchi walioathirika na mafuriko hayo.
Mbunge Lucy Owenya akizungumza mara baada ya
kukabidhi msaada huo.
Diwani wa kata ya Arusha Chini Rojas Mmari
akizungumza jambo mara baada ya wananchi wake kukabidhiwa msaada
huo.
Afisa mtendaji Utawala wa kiwanda cha sukari
cha TPC ,Jafary Ally akizungumza kuhusu namna mafuriko hayo yalivyo
athiri kiwanda hicho.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Kanda ya Kaskazini

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO
mag1
mag2
mag3
mag4
mag5
mag6
mag7
mag8
mag9
mag10
mag11
mag12
mag13
mag14
mag15
mag16

Older Posts Home
Wanaotembelea Blogu hii
Sparkline 2657622
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
BOFYA HAPA KUTAZAMA
MATOKEO YA KIDATO CHA PILI
MATOKEO YA KIDATO CHA PILI
BOFYA HAPA KUTAZAMA
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 HAYA HAPA
Tanzania National Flag
Tanzania National Flag
Time
Dar es Salaam
The Digital Company
The Digital Company
Mtayarishaji:
Mtayarishaji:
Richard Mwaikenda
BONGO HITS
Find more music like this on GongaMx
Blog Archive
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Post a Comment