Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Elimu kwa umma Ms Neema Kiula, Mr Jimroger Ismail, Ms Sophia Vumbi, Mr Joshua Chamwela, Ms Zainab Kihange na Mr. Mathew Kileo.
Ndugu Mathew Kileo akiwa tayari kuelezea shughuli zifanywazo na Bunge . |
Ms Zainab Kihange katika idara ihusuyo kamati za BUNGE . |
Ofisa Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Elimu kwa umma Ms Neema Kiula. |
Ofisa Joshua Chamwela mbele ya mabango yaonyeshayo kwa shughuli na taarifa mbalimbali za Bunge. |
Duu Kiti cha Spika wa Bunge ni kitamu, Ms Sophia Vumbi akiwa amekaa kwa pozi kwenye kiti hicho. |
Post a Comment