Chuo kikuu cha Sayansi na Tiba MUHAS wanashiriki katika maonesho ya 36 ya biashara ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba , yako mambo mengi ya kujifunza katika banda lao ikiwa ni pamoja na kuona shughuli wazifanyazo na mipango yao ya baadaye. Banda lao linatazamana na banda la Ardhi University.
 |
Mchoro wa kampasi mpya ya MUHAS eneo la KIBAMBA, Dar es Salaam. |
 |
Mr Ulimbaga Kajobile Principal Planning Officer wa MUHAS akitoa maelezo ya mradi wa ujenzi wa kampasi mpya , ujenzi unaotarajiwa kuanza eneo la Kibamba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. |
 |
Pichani kutoka kushoto ni Prof David Ngassapa former DVC - ARC na mkewe Prof Olipa Ngassapa akiwa na mkuu wa mipango wa MUHAS ndugu Ulimbaga Kajobile pamoja kundi la wahadhiri wasaidizi toka chuo hicho. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Wednesday, July 4, 2012
Post a Comment