Social Icons

Loading...

MAFURIKO POSTA MPYA

Mvua  zinazoendelea  kunyesha  Dar  es  Salaam   hasa  maeneo  ya  kati  kati  ya  jiji   , asubuhi  hii  hali  ilikuwa  hivi...
Asubuhi  hii   barabarani   viatu  vilipumzika  kidogo  na  kisha  suruali    kukunjwa  hadi  magotini  ili kuweza kuvuka  na  kuelekea   ofisini,  hali  ilikuwa  mbaya.
Boda  Boda  nazo    mwendo  mdundo.
Huyu  ni  ofisa  wa  benki  maarufu  katika  mtaa  huu   akivuka  kueleka  ofisini  kwake .
Kufa  kufaana  , kuna  vijana wa  MUJINI    nao  walikuwa  kama  kawaida  kutengeza  dili za  kuvusha  watu , ukiwa  Posta  kijana  huyo  ni  nadra  sana  kumkosa  hasa katika  dili  zake  za  kuwahi  siti katika  daladala  zinazoelekea  Mwenge  au  Mbagala   kwa  Tsh 500,  leo  asubuhi    dili    lilibadirika   ghafla  ikawa ni   kuvusha   abiria  kwa kuwabeba , Hapa  ni kama  anamwambia   MREMBO    huyo  anayepita   "  karibu upande  mgongoni  nikuvushe"  mrembo  naye  wala    haoneshi   kushawishika!  KAZI  NI  KAZI.


                                        Rami  ikiwa  imefunikwa  na  maji .

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

5 comments

duuh...hi kali

Reply

Hii sasa ni Kero! Du!

Reply

Poleni sana wana Dar Es Salaam! Inabidi serikali ianze mikakati yakuboresha mifereji ili mvua kama hizi zisizuie au kufanya usafiri kua kero kwani sasa maji taka na yamvua si yanaweza kusababisha magonjwa jamani!

Reply

Tunashukuru kwa kutujuza

Reply

Duh karne hii bado hizi sehemu zinafurika baada ya mvua ya 2 hrs. Vipi ikinyesha 12 hrs ??

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top