HATIMAYE KILE KITENDAWILI WAPI KOCHA WA ZAMANI WA BARCA PEP GUARDIOALA WAPI MSIMU UJAO WA LIGI BARANI UROPA ATASAINI KAMA KOCHA KIMETEGULIWA NA SASA AMEPATA KANDARASI YA KUINOA BUYERN MUNICH YA UJERUMANI KWA MIAKA 3, KUANZIA JUNE 2013 VILABU AMBAVYO VILIKUWA VIKIMWANIA NI PAMOJA NA MAN CITY NA CHELSEA VYA ENGLAND.
PEP NI MIONGONI MWA MAKACHO WENYE MAFANIKIO MAKUBWA DUNIANI.
PEP NI MIONGONI MWA MAKACHO WENYE MAFANIKIO MAKUBWA DUNIANI.
Post a Comment