Ucc Saccos ilipata usajili rasmi mnamo tarehe 7 February 2011 kupitia hati namba DRS 1301 iliyotolewa na mrajisi wa vyama vya ushirika wilaya ya Kinondoni , ina jumla ya wanachama hai 58 , Kaimu Mwenyekiti wa umoja huo ndugu Prudence Ongera Nicodem ametoa mwaliko kwa wanachama wapya , shime karibuni masharti ni nafuu na viwango ni vya wastani kulingana na uwezo husika wa mwanachama.
Picha za viongozi na baadhi ya wanachama wa saccos hii
Picha za viongozi na baadhi ya wanachama wa saccos hii
Post a Comment