Social Icons

Loading...

Mkutano mkuu wa mwaka wa Ucc Saccos wafanyika.


Hawa  ni  baadhi  ya  viongozi  wa  bodi ya  UCC  SACCOS   kutoka  kushoto ni  Katibu ndugu Ally  Juma  a.k.a  NAPE , Makamu Mwenyekiti ndugu Prudence Ongera,Mhasibu  ndugu Justice Sheshui   na  mjumbe   ndugu  Daniel  Methusela.









































  
 
Makamu Mwenyekiti  akifafanua  kwa umakini  jambo  kwa   mwanachama     a.k.a  Blogger  kuhusu  tatizo la makato ya mwezi kwa wanachama pia   makosa ya kiutalamu ya michango halisi ya mwanachama ukilinganisha na kile kionekanacho kwenye salary  slip.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top