Social Icons

Loading...

UGANDA MWIZI AKIMATWA HUWA ANAPEWA KICHAPO NAMNA HII



Huyu  ni  mwizi  aliyenaswa  na  wanakijiji    nchini  Uganda  akijaribu    kuvunja  dirisha  la  nyumba  ili  aibe
Wanakijiji  walipomnasa  walianza  kwa  kumpa  kichapo  kikali  kabla  ya  kumfunga  miguu  na  kumburuza  barabarani  huku  wengine  wakiendelea  kumshushia  kichapo
Tizama   video  ya  kichapo
http://mwanahabariuswazi.blogspot.com/2013/07/video-huu-ndio-ukatili-na-mateso.html#ixzz2ZE2NX8Xm

Nini  maoni  yako  kwa  tukio  kama  hili  nchini  kwetu.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

1 comments:

mimi ningekuwepo ningetoa msaada wa kununua petrol achomwe moto kabisa,
maana vibaka hawafai hata kidogo wanarudisha maendeleo nyuma acha, atakaebisha hayajamkuta,
jana mtaani kwetu tumechoma kibaka mmoja moto.

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top