|
Ndugu Jacob Urassa mwanachama wa umoja huu akisaini . |
|
Mshauri wa Ucc Saccos kuhusu mambo ya fedha akisaini |
|
Mjumbe wa Ucc Saccos Mzee Mhango naye pia akitimiza wajibu pembeni ni Ndugu Zungu |
|
Wadau wengine pia Seve, Rasul na mshabiki nguli wa Mabingwa wa Ulaya Ndugu Evarist akisaini |
|
Hapa viongozi wa chama wakitambua na kuthamini uwepo wa Dr Casmiry , pia wadau wakiendelea kusaini kwa umakini. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Monday, June 18, 2012
Post a Comment