Artificial
intelligence (AI) technology simulates human intelligence using
computer systems powered by advanced machine learning algorithms. AI
technology can perform many functions that previously could only be
performed by humans - including...
Loading...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Afikishwa Mahakamani Kwa Kosa La Kumtishia Bastola Askari wa Usalama Barabarani (Trafiki)

Ilikuwa
kama mchezo wa kuigiza kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro baada
ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, Emmanuel
Mkumbo kufikishwa ili apandishwe kizimbani kujibu mashtaka sita,
likiwamo la kutishia kuua.
Tukio
...
Filed Under:
habari
on Tuesday, October 18, 2016
Jambazi Awajeruhi Kwa Bomu Askari na Raia Wanne Kigoma

Polisi na raia wanne wamejeruhiwa kwa
bomu la kutupwa kwa mkono walipokuwa wakimkamata mtuhumiwa wa ujambazi
kwenye Kijiji cha Uvinza mkoani Kigoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Kigoma, Ferdinand Mtui alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea Oktoba...
Filed Under:
habari
on
Basi la Barcelona Lapata Ajali na Kuua Watu 10 Mkoani Lindi

Watu
10 wamefariki dunia na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni
ya Barcelona walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kwenda
mkoani Lindi kupata ajali eneo na Miteja mkoani Lindi.
Taarifa
iliyotolewa na Kamanda...
Filed Under:
habari
on
Kikwete Chairs First UN High Level Panel on Response to Health.

PRESIDENT Jakaya Kikwete yesterday chaired his first meeting of
United Nations Secretary General's High Level Panel on the Global
Response to Health Crises.
The meeting is taking place at the Office of the Secretariat of the
United Nations Secretary...
Filed Under:
habari
on
NMG yapata ofisa mtendaji mkuu mpya

Mr Joseph Muganda
Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Nation Media Group (NMG)
imemtangaza Joseph Muganda kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji
Mkuu mpya atakayeshika hatamu ya uongozi wa kampuni hiyo kuanzia Julai
Mosi...
on
Dar Mgomo wa Mabasi waingia siku ya 2 na Sasa Waisha..

Hatimaye madereva wa mabasi na malori wameamua kusitisha mgomo
leo baada ya Serikali kuwahakikishia kuwa inaandaa utaratibu mzuri wa
kujibu na kushughulikia matatizo yao.
Mgomo huo ulioanza jana umesababisha usumbufu...
on
Waliojitokeza kuwania urais CCM hawana sifa.

Harakati za kuwania urais ndani ya CCM zimeingia katika hatua
mpya baada ya mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale - Mwiru kuibuka na
kudai kuwa wote waliojitokeza kuwania nafasi hiyo hawana sifa kwa kuwa
wanatumia fedha kutaka kuingia Ikulu.
Kauli...
Filed Under:
siasa
on Tuesday, January 13, 2015
Idea on how to write a CV

THE NUMBER ONE PURPOSE OF A CV
The CV is a tool with one specific purpose: to win an interview. A CV is an advertisement, nothing more, nothing less.
A great CV doesn't just tell them what you have done but makes the same assertion that all good...
on