Tamasha la Clouds FM Sports Bar & Sports Xtra lililowakutanisha wafanyakazi wa makampuni 14 kadhaa hapa Dar kwa lengo la burudani na kujenga afya katika michezo mbalimbali ukiwemo mchezo wa soka.Mshindi katika tamasha hilo ni timu ya soka ya TANESCO baada ya kuifunga timu ya soka ya Fast Jet.
Mwonekano viwanjani Leaders katika siku ya Clouds FM Sports Extra Day.
Blogger akiwa na mratibu mkuu wa tamasha hilo mfanyakazi wa kituo cha Clouds FM Mr Shaffih Dauda.
Dream team ya Clouds FM wakipata mawaidha wakati wa mapumziko.
Mdau Chediel Msuya wa NHC akishanglia moja ya goli liliofungwa na timu yake dhidi ya NMB.
Timu ya Vodacom ikichuana na CRDB.
Blogger akiwa na wadau wa NHC .
Meneja wa bia ya Castle Lager (TBL) Kabula Nshimo akimkabidhi
nahodha wa timu ya Fast Jet kikombe kwa kuibuka washindi wa pili katika bonanza la soka la Mei Mosi lililojulikana kwa jina la Sports Bar & Sports Xtra Day,lililoratibiwa na Clouds Media Group.
Muwakilishi kutoka benki ya NMB akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya TANESCO,mara baada ya kuibuka washindi wa kwanza katika bonanza
la soka la Mei Mosi lililojulikana kwa jina la Sports Bar & Sports
Xtra Day,lililoratibiwa na Clouds Media Group na kufanyika kwenye
viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar.
Loading...
Post a Comment