Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba amerejea jana akitokea nchini Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa kwa zaidi ya miezi miwili.
DCI Manumba alisafirishwa kwenda nchini Afrika Kusini Januari 26, mwaka huu kwa matibabu zaidi baada ya kulazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) cha Hospitali ya Aga Khan tangu Januari 13, mwaka huu.
Post a Comment