Mwanamuziki mkongwe Fatuma Binti Baraka maarufu kama Bi Kidude amefariki dunia jana huko Zanzibar.Bi Kidude amefariki kutokana na maradhi ya kisukari na uvimbe kwenye kongosho.Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Raha leo mjini Zanzibar.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Wednesday, April 17, 2013
Post a Comment