SWAGA ZA WADADA ZETU ILI WAONEKANE
NAO WAMO HASA WAKITOKA USWAZI WAKAWA WAMENDA OUT MITAA YA USHUANI;
1. Halima………muhudumu naomba unilete
salad ya moto, na chupa ya Amarula.
2. Chausiku…..nipe PIN yako niwe nakupigia
2. Chausiku…..nipe PIN yako niwe nakupigia
3. Siwema….nimechokaje,
nimeshinda Shoprite natengeneza
nywele
4. Gulo….Boifrend wangu kanambia likizo ya summer mwaka huu tutago London tukale Chrismas
4. Gulo….Boifrend wangu kanambia likizo ya summer mwaka huu tutago London tukale Chrismas
5. Cynthia…Nimenunua BlackBerry wamenambia PIN nikaipitie
kesho
6. Fulo....Mi napendaga kusafiri
na Presishen, napenda viti vya dirishani, mtu unakaa unafungua kioo chako hewa
safiii mpaka mwisho wa safari.
7. Fatuma….kiukweli mi niliipenda
London kuliko UK.
Post a Comment