Mr. Ruge Mtahaba wa Clouds FM akitoa soma kuhusu namna gani kijana wa Kitanzania anaweza kutumia fursa na kukuza Talent aliyonayo, usiku ijumaa 5/ 10/2012 Hotel ya Peacock Dar katika FOF Executive .
Sikiliza sehemu ya Mahojiano hayo...akijibu Maswali Kadha Wa Kadha Yaliyokuwa yakiulizwa na Mtaalam Wa Saikolojia Nchini Bw. Chris Mauki, Mr. Ruge alisema Tanzania kuna fursa nyingi sana ambazo zikibainishwa na kutendewa Kazi na vijana suala la Ajira halitakuwa tatizo tena kwa vijana wengi sana hapa nchini na ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati na hatimaye duniani.
Chris Mauki Kushoto Kulia ni Ruge Mutahaba wakiwa ndani ya FoF Executive

Post a Comment