|
KAUNDA STADIUM, JANGWANI |
Huu ndio utakuwa uwanja mpya wa Kaunda, Jangwani ambapo timu ya Yanga African itakuwa inautumia kwa michezo yake, ukitegemewa kuingiza watu 25,000. Wacha tuone vibosile wa Yanga wanavyotaka kuleta changamoto moja kwenye soka la Bongo.
Simba vipi? Maneno ya Bunju yameishia wapi? Twataka vitendo kama hivi na vile vya kule Chamazi, Na nyie Yanga msiuze sura tu kwa hii model ya uwanja fanyeni kweli mjulikane nyie kweli Umoja wa Mataifa...Bhaaaaassssiiiiiiiiii
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Friday, October 5, 2012
Post a Comment