Kulia ni Protace, Papaa Ze Blogger, Ze Blogger Daniel na Kushoto ni Robert Charles (ROCHA) "mtoto, " aka PACHA.
Amani Kapama akiwa Kikazi Zaidi
Mc Pilipili alikuwa na Package ya Usumbufu wa Abilia wanaopanda Mabasi Ya Kusafiri huku ukiwa umekaa na Mama Mwenye Mtoto ndani ya mabasi yaendayo mikoani, Unaweza Ona chini kuna Themos ya Uji, Kuna Pampaas,hindi la kuchoma Kikombe Cha Uji na Mkononi akawa amenipa Chuchu Ya Maziwa msafiri ili amwenyeshe mtoto ....It was Awesome Comedy.
Huyu jamaa ni nomaa katika tasnia ya Comedian , hapa kaja na staili ya Kininja, yaani utacheka mpaka mbavu zikuume na stress zote BHAAASSSSSSS.....
Ruge akihojiwa na Chris Mauki kuhusu fursa na Talents za Vijana.
Mdau huyo alikuwa anaadhimisha besdei yake , taratibu akikata keki yake .
NERO ( NEEMA na ROCHA) Family wakilishana keki, daaahaaaa..TAMUUUUU.
Msosi nao ulikuwa Ki -exactive , Mchungaji Deo Lubala akipata shea yake
Mdau akijisevia taratibuuuuu.
Meza zikiwa zimechafuka, misosi ya nguvu.
Dotto Stanley Mtaalam kutoka Kituo Cha Uwekezaji (TIC) akitoa maada namna ya kutumia fursa kuwekeza Nyanja tofauti nchini .
Mziki nao ilikuwa ni sehemu ya tukio, wadau wakitoa burudani
Prosper na Papa Sam aka Ze Blogger wakienda sawa .
Hapa ni Burudani mtindo mmoja.
Abella Wa Clouds Fm( Kipindi cha The Terminal) akienda Sawa na Ze Blogger Faraja Mndeme Ndani Ya Executive FOF.
Post a Comment