Social Icons

Loading...

TRENI YAANZA MAJARIBIO DAR





TRENI YA MWAKYEMBE YAANZA MAJARIBIO DAR.
Kama ambavyo Dr. Harrison Mwakyembe alivyoahidi awali kuwa treni ya kubeba abiria katika viunga vya Jiji la Dar Es Salaam lazima ianze mwaka huu; ndio tumeanza kuona uhalisia wa maneno yake pale ambapo majaribio ya utekelezaji wa zoezi hilo yalipoanza.

Shughuli pevu ipo kwa daladala za Jijini kugombea abiria. Sasa sijui na bei wanayopandisha kila siku itapungua? Vipi kukatisha "route" wataendelea? Je! Zoezi hili na mwisho ndoto ya kuwa na usafiri wa treni ili kupunguza msongamano wa magari Dar na kurahisisha usafiri itakamilika? Wacha tuendelee kusubiri kwani 15/10/2012 haiko mbali kama tulivyoahidiwa. Lakini pia swali lingine wanalouliza wadau ni Je! Usafiri huu utadumu au utakuwa kama huo wa TRL? Udhibiti wa ajali katika makutano ya barababra na reli au pale reli inapopita katika makazi ya watu au sokoni je umezingatiwa? 

HONGERA DR. MWAKYEMBE NA TIMU YAKO INGAWA KAZI BADO MBICHIIIII.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top