Hatimaye jeshi la polisi limeruhusu kufanyika
kwa maandamano ya waandishi wa habari mkoani Dar es salaam leo,kilele
chake kitakuwa ni katika viwanja vya Jangwani, awali yalikuwa yaishie
viwanja vya mnazi mmoja.Kamanda Kova athibitisha kuwepo kwa maamuzi hayo
baada ya vutanikuvute.
Chanzo kwa hisani ya http://www.facebook.com/mwananchicommunications
Post a Comment