Huyu
ni Manyerere Jackton na bango lake
Mwandishi Lauden Mwambona akiwa amefunga mdomo kama hivi wakati wa maandamano hayo
Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Nevile Meena
akihutubia katika mkutano uliofanyika viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam jana,
kulaani ktendo cha Polisi kumuua kwa bomu Mwandishi wa habari wa Kituoc ha
Televisheni cha Channel Ten, Mkoa wa Iringa, marehemu Daudi Mwangosi katika
vurumai zilizotokea wakati Chadema wakifungua tawi katika Kijiji cha Nyololo, wilayani
Mufindi hivi karibuni.
Mwandishi Lauden Mwambona akiwa amefunga mdomo kama hivi wakati wa maandamano hayo
Waziri wa Mambo ya Ndani Dk.Emmanuarl Nchimbi akiondoka
akisindikizwa na viongozi wa Jujwaa la Wahariri
Post a Comment