Mdau GWESSO akikata keki yake maalum leo hii tarehe 26 September.
Duu kulishwa raha , mbethideiwa akionja keki taratibu toka kwa Bi Isabella.
Mr Abdul aka Baba Hanifa akimpongeza GWESSO kwa ishara ya kumlisha keki.
Blogger naye kama kawa kama dawa kukiwa na mnuso sehemu huwa hachezi mbali, akitabasamu kabla ya kulishwa keki.
Duu hii style mpya inaitwa Double Double, Bi Rehema Ndama akilishwa keki na Gwesso.
Ukishangaa ya Musa utaona ya ...., Kumbe keki inapagawisha namna hii cheki style hiyo.
Duu kulishwa raha , mbethideiwa akionja keki taratibu toka kwa Bi Isabella.
Mr Abdul aka Baba Hanifa akimpongeza GWESSO kwa ishara ya kumlisha keki.
Blogger naye kama kawa kama dawa kukiwa na mnuso sehemu huwa hachezi mbali, akitabasamu kabla ya kulishwa keki.
Duu hii style mpya inaitwa Double Double, Bi Rehema Ndama akilishwa keki na Gwesso.
Taratibu Mrs Erick Makoye aka Faith Shayo naye akilishwa keki na GWESSO |
1 comments:
No STUDENT representative at all, this is not fair...!!!
ReplyPost a Comment