Mchungaji Kiongozi Askofu Zakayo Rogathe Swai wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Kinondoni maarufu kama Kinondoni Revival Church afanyiwa sherehe kwa kuhitimu mafunzo ya Shahada ya kwanza ya Theologia toka Chuo kikuu cha East Nairobi sherehe zilizofanyika leo kanisani Kinondoni Dar es Salaam.
Askofu Swai na mkewe wakilishana keki .
Mchungaji Swai akiwa na mkewe Eshemendi, wengine kutoka kushoto ni Askofu mkuu wa makanisa ya TAG Tanzania Dr Barnabas Mtokambali na mkewe , Kulia kabisa ni Mr & Mrs Rev Dr. Moris Mwarandu toka kanisa la RGC Nairobi, Kenya
Post a Comment