Social Icons

Loading...

SASA SI WAWILI TENA BALI MMOJA : Mr&Mrs. EVANCE MABEYA

Evance Mabeya (Bwana Arusi) katikati akipozi na mpambe wake kushoto na kulia ni Bishop Japhet Muvengi wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship of Kenya wakimsubiri bibi Arusi aingie katika viwanja vya Maro Garden, Nairobi, Kenya.

            Bw. Richard G. Lyimo (Baba wa Bibi Arusi) akimleta mwanae Glory C. Lyimo madhabahuni ili amkabidhi tayari kufunga ndoa na Evance Mabeya.
      HAPA KIROHO KWATUUU! Bibi Arusi Glory Lyimo kafika madhabahuni (katikati) kushoto ni Handsome Boy Evance Mabeya (Bwana Arusi) na kulia ni Bishop Japhet Muvengi akiwaongoza ibadani.
Bishop Muvengi anatupia vitu hapa. Ni shule ya nguvu. Waijua "Pembe tatu ya ndoa weye?" Haya soma hapa Mwanzo 2:20 - 24. Mzee anatupia vitu huyu dhuuu. tuliokuwepo tulifaidi.

                                 WAPAMBE/WASIMAMIZI NAO HAWAKUKOSA WALIJAA TELEEE...
 WAZEE WASHUHUDIA TENDO TAKATIFU: (Kushoto - Kulia)Bw. Richard G. Lyimo(Baba Mlezi wa Bibi Arusi), Advocate Bariki C. Lyimo (Kaka wa Bibi Arusi), Mzee Adamson Kariwa (Baba wa Bibi Arusi)
 SASA MFALME EVANCE KAMPATA MALKIA NA SASA ANASAINI NYARAKA YA NDOA
      Bibi Arusi Glory C. Lyimo malkia wetu naye hakulaza damu akamwaga wino kukubali ndoa rasmi.
    MAMAAA WEEEEE: Jamani ni keki hiyo ndani ya bisu kubwa...kipande tu mimi jamani Evance dhuuu...
     SEBENE NALO LIKASHIKA KASI: Wanamuziki maarufu Kenya "THE KAYAMBA BAND walikuwa ndani ya "The Maro Garden wakiungurumisha mitwango kibao kuwasindikiza maarusi.
"YA KALE NI DHAHABU": Hawa nao eti wanakumbushia enzi zao...mayo wane weeeee(Mdau Rocha na mkewe Neema)
 WOTE HAWA WALIVUKA BODA KUSHUHUDIA NDOA TAKATIFU YA GLORY NA EVANCE
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top