Social Icons

Loading...

DADA HUYO AMEOLEWAAAAA...MAHARI KISHATOLEWA...

 Hapa Bw. Evance Mabeya Mchumba wa Glory akiketi na Mkewe mtarajiwa baada ya kutambulishwa hapo katika ukumbi wa Meza Luna Arusha
NDAFU NAYO HAIKUKOSA KAMA KAWAIDA YA KINA "AIKAMBE MEKU"

 
Malkia Glory Charles Lyimo kwa mbwembwe na mapozi yote akibeba keki mfano wa chungu moja kwa moja kuwapa zawadi wakwe zake.
                          Glory akiwa high table anaendelea kuwaangalia watu wakiselebuka Kwaito
                               Advocate Bariki C.Lyimo akimkabidhi dadaye Glory kwa Evance Mabeya.

Siku hiyo ya Ijumaa 6/7/2012 ilikuwa siku muhimu sana kwa Glory Charles Lyimo kwani ndio siku aliyosendiwa off toka katika familia yake kwenda hukooooooo Kisiii kwa kina Mabeya. Haya endelea mwenyeweee...
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top