NDG: PETER GWESSO WA UCC CITY BRANCH AMELAZWA WODI 3 CHUMBA NAMBA 1 ANASUMBULIWA NA KICHWA KINAUMA SANA, BLOG HII IMEMTEMBELEA LEO JIONI MIDA YA SAA 10 NA NUSU HAPO HOSPITALI NA HALI YAKE INAZIDI KUIMARIKA.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Sunday, July 15, 2012
6 comments
Get well soon Dear GWESSO
Replypole sana kaka, nakutakia nafuu ya haraka urudi uwanjani, mola akujaalie wepesi inshallah
Replypole sana mungu atakuponya .
ReplyPole sana jirani..
ReplyPole saaaaaaaaaana, Chief Commander. Mungu akusaidie upone na kurejea kwenye mapigano, Naamini utapona tu Mkuu. Get well Soon,
ReplyPole sana kaka, upone haraka.
ReplyPost a Comment