Ofisi za mauzo ya DECODER za DIGITEK eneo la Makumbusho Dar.
Blogger akikabidhiwa King'amuzi chake cha DIGITEK na Mr Jamada.
Vijana wa kazi katika ofisi ya mauzo Mr Fidelis na Mr Jamada wakienda sawa kuwahudumia vizuri wateja wanaofika katika ofisi hizo.
Kwa nje hii ni sehemu pia ya huduma kwa wateja na mauzo.
Mr Jamada na Mr Carlos Maofisa katika ofisi za Mauzo Digitek.

2 comments
Yani Tanzania tumezidi, hamna information mtandaoni kabisa. Niko njia panda kati ya Zuku na Digitek. Zuku nasikia channel nyingi wakati Digi ni 15 tu, lakini kingamuzi cha Digi kina function nyingi. Najaribu kuona channel zenyewe available kwenye hivi vingamuzi, hamna jibu. Kweli they are that stingy hata ku hire a graduate kuwa andikia kwenye website vipindi vya channel? bora hata Zuku, their Kenyan website is detailed. Digitek's website is dismissal at best. Disappointed.
ReplyNachukia mimi km wewe unavyochukia
ReplyPost a Comment