Friends On Friday Event ya Dar Ikiwa Inatimiza Mwaka mmoja tangu
ilipoanza Siku Ya Jana imetimiza Mwaka mmoja na kufanya event ya Aina
yake yenye jina la "FoF Moja Juu".
Event hiyo iliyopambwa na matukio ya kupendezesha ilifanyika katika eneo
la Makumbusho ilianza saa 1 Jioni na kumalizika saa 6 Usiku.
 |
Champagne maalumu non alcoholic aka "Non o'clock" kwa usiku wa FOF moja juu zikufunguliwa kusherehesha tafrija hiyo. |
 |
Mc Papaa Sam Sasali ze Blogger akiwa stejini kuwapa vitu roho inapenda wadau FOF usiku huo. |
 |
Nyomii ya wadau wa FOF.
Wadau wa FOF wakicheza Kwaito ,duu ilikuwa furaha sana .
|
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Sunday, July 8, 2012
Post a Comment