Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt Jakaya Mrisho Kikwete atembelea katika banda la UDSM , pichani akipata maelezo ya shughuli za chuo na taasisi zake katika banda hilo.
Rashid Kikwete (mtoto wa Rais) akiwa kwenye majaribio kutumia SMART Board na pia akiwa kwenye jaribio la kumpasua chura ki-elekroniki. Kushoto ni ndg. Mokiwa, mtaalamu wa Teknologia hii kutoka UCC akimpa msaada wa karibu.
Balozi wa Amani , Nongwa akimpa somo mheshimiwa Rais kuhusiana na huduma za UCC LTD viwanjani Saba saba.
Post a Comment