YANGA 3 JKT OLJORO 0
Simba tayari imeshavuliwa ubingwa, kwani hata kama itashinda mechi zake zote haitaweza kufikia pointi zilizovunwa na watani wao Yanga, waliibuka na ushindi dhidi ya JKT Oljoro kwenye Uwanja wa Taifa 3 bila.
SIMBA 2 AZAM 2
Wakati huo huo leo simba na Azam zimegawana point kufuatia kutoka sare 2-2
Post a Comment