Utafiti uliofanywa mwaka 1940 ulionyesha kuwa
asilimia 50 ya nguvu za kiume hushuka kutokana na kiwango kikubwa cha unywaji
wa uvutaji wa sigara, pombe pamoja na mabadiliko ya mazingira.Pia uvutaji wa sigara 20 kwa siku na ulaji wa chipsi, baga, soseji inachangia
kwa asilimia 43 kuharibu nguvu za kiume.
HALI ya
maisha pamoja na mazingira husika yanayomzunguka binadamu imeelezwa kuwa ni
chanzo cha kushuka kwa nguvu za kiume.Madaktari wengi wameripoti juu ya kuwepo kwa ongezeko la wagonjwa wengi wa kiume ambao wamekuwa wakilalamikia juu ya upungufu wa nguvu za kiume.
Mwaka jana mwishoni gazeti la The Independent llilopo nchini Uingereza liliripoti kuwa hali ya afya ya viungo vya uzazi hususani kwa wanaume ilishuka kwa kiwango kikubwa na hiyo ilitokana na utafiti uliofanywa duniani juu ya ubora wa mbegu za kiume.
Utafiti huo ulionyesha kuwa katika miaka ya 1989 hadi 2005 ulionyesha kuwa kati ya wanaume 26,000 waliofanyiwa uchunguzi robo tatu yake walionekana kuwa na uwezekano mkubwa wa kushindwa kuzaa.
Soma zaidi http://www.mwananchi.co.tz/habari/-/1597578/1662328/-/vk5njw/-/index.html
Post a Comment