Klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia imemsajili mshambuliaji hatari wa Simba Emanuel Okwi t toka Uganda kwa kitita cha $300,000 sawa na Tshs 477 mil , Mganda huyu atakuwa akikipiga katika klabu hiyo , moja ya vigogo kabisa vya soka barani Afrika kwa miaka 3.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Thursday, January 17, 2013
Post a Comment