Mtandao wa kijamii wa Facebook (FB) umezidi kushamiri kwa mujibu wa takwimu za 2012 kwa tafiti za hivi karibuni FB ina watumiaji zaidi ya bilioni 1 hai toka nchi zaidi ya 127 hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mtafiti Vincenzo Cosenza toka Italia.Mitandao mingine inayofiatia kwa mbali ni
- Qzone toka Uchina
- В Контакте (V Kontakte, au Katika Touch) toka Urusi
- Odnoklassniki toka nchi za Ki-Soviet
- Cloob, or Club toka Iran
Chanzo: http://www.theregister.co.uk/2013/01/03/facebook_extends_global_hegemony/
Post a Comment