Loading...
STARS Yaiadhibu CHIPOLOPOLO 1- 0
Timu ya Taifa ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars imeifunga timu ya taifa la Zambia ambayo ni mabingwa wa Afrika kwa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki , goli hilo pekee lililopatikana dakika ya 45 ya mchezo. Bao hilo limefungwa na Mrisho Ngassa, kwa shuti la mbali akimalizia pasi ya kiungo mchezeshaji Mwinyi Kazimoto.
Vikosi :
Stars-Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Shomari Kapombe, Aggrey Morris, Kelvin Nyondani,Frank Domayo,Amir Kiemba,Salum Abubakar,Mrisho Ngassa,Mwinyi Kazimoto, Hamis Mcha/Simon Msuva.
Zambia- Danny Munyao, Chintui Kapamba,Hichani Himonde,Chisamba Lungu,Jame Chamanga/Shadrack
Malambo,Christopher Katondo/Stoppila Sunzu,Felix Katongo,Nathan Sinkala/Evans Kangwa,Roderick Kabwe/Francis Kasonde na Issac Chansa.
Pata picha zaidi katika pambano hilo:
Post a Comment