Mrisho Khalifan Ngassa. |
Taarifa zinasema kuwa Simba na Azam kila moja imenyakua milioni 80 , huku kiungo huyo mshambuliaji ambaye katika michuano iliyopita ya Challenge Tusker Cup aling'ara amenyakua milioni 80 na mshahara mnono .
Wakati huu huo kuna tetesi za
MRISHO NGASSA ASAINI YANGA MIAKA MIWILI NA KUPEWA MILLIONI 10 - AHAIDIWA NYINGENE MWISHO WA MSIMU
Source :http://www.shaffihdauda.com/2012/12/exclusive-mrisho-ngassa-asaini-yanga.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+ShaffihDaudaSports+%28Shaffih+Dauda+Sports%29
Post a Comment