Ulinzi wa aina yake uliwekwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu Dar
es Salaam jana wakati Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu
Tanzania, Sheikh, Ponda Issa Ponda alipofikishwa mahakamani hapo na watu
wengine 49.Ponda na wafuasi wake walifikishwa mahakamani hapo kusikiliza kesi inayowakabili ,wakidaiwa kufanya vurugu na kuharibu mali.Hata
hivyo, wakati wafuasi hao wakiachiwa kwa dhamana, Mahakama hiyo ilisema
kuwa haina mamlaka ya kisheria ya kutoa dhamana kwa Sheikh Ponda
anayetuhumiwa kuchochea vurugu hizo.
Askari Magereza akimfunga pingu Katibu wa
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh, Ponda Issa Ponda baada
ya kuarishwa kwa kesi yake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
jijini Dar es Salaam jana.
Farasi nao walikuwepo kusaidia ulinzi dhidi ya wafuasi wa Sheikh Ponda
Mbwa maalumu wa kutuliza ghasia na kunusa mabomu nao walikuwepo.
Kikosi maalumu cha askari magereza
Baadhi ya ndugu na jamaa wa washitakiwa wakiingia huku wakisachiwa mlangoni
Mmoja wa mahabusu akibebwa baada ya kuanguka kortini.
Duuu , Hapa ni fanya Fujo uone.
Hapa adui hachomoki....
Doria ilikuwa kali
Ponda na wenzake wakisindikizwa na askari magereza .
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Friday, November 2, 2012
Post a Comment