Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi akitoa ufafanuzi kwa
waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusu hatua
zilizochukuliwa na Serikali kufuatia kubainika kwa matumizi ya dawa
bandia za kupunguza makali ya Ukimwi zenye jina la Biashara TT –VIR 30.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Wednesday, October 10, 2012
Post a Comment