|
Ndesanjo Macha |
Mtanzania na Mwanalibeneke wa kwanza kublogu kwa Kiswahili, Ndesanjo Macha ameshinda Tuzo ya Blog Bora Afrika
ya TEHAMA(Teknolojia ya Habari na Mawasiliano),Ndesanjo Macha ambaye ni kinara wa Watanzania walio wengi
ambao wamejifunza masuala ya blogu na kublogu ameibuka mshindi katika
mashindano yaliyoendeshwa na Highway Africa http://www.highwayafrica.com/
. Ushindi huo ameupata kutoka katika taasisi inayoheshimika sana
duniani na ni heshima kubwa kwa Ndesanjo ambaye unaweza kusoma zaidi
habari zake katika libeneke hili http://globalvoicesonline.org/author/ndesanjo-macha/
KWA NIABA YA WADAU NA MMILIKI WA MTANDAO HUU NINAMPONGEZA KWA DHATI NDG: NDESANJO MACHA KUPEWA TUZO HII, MAFANIKIO HAYA YAWE CHACHU YA KUFANYA VIZURI KATIKA NGAZI KUBWA ZAIDI YA DUNIA.
HONGERA KAKA...
Ndesanjo akiwa na mshindi wa pili katika shindano hilo
Picha ya washiriki wote
Picha kwa hisani ya
http://www.mjengwablog.com/2012/09/ndesanjo-macha-ashinda-tuzo-ya-blog.html
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Monday, September 17, 2012
Post a Comment