Bondia
Fransic Cheka akinyooshwa mkono juu na mmoja wa mashabiki wa Kigeni
waliokuja kuangalia mpambano wake dhidi ya Karama Nyilawila Cheka
alishinda katika raundi ya sita baada ya karama kusalimu amri kushoto ni
Rais wa PST Emanuel Mlundwa na wa pili kulia ni mgeni rasmi Kamanda wa
polisi wa Kanda Maalumu Mkoa wa Dar es salaam Suleiman Kova.
Picha kwa hisani ya :http://richard-mwaikenda.blogspot.com/
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Sunday, September 30, 2012
Post a Comment