Baada ya kusitisha mkataba na Kocha Tom Saintfiet klabu bingwa ya soka ukanda wa afrika mashariki na kati Yanga imesaini mkataba wa mwaka mmoja na Ernstus Brands kwa ajili
ya kuiona klabu ya Yanga, pichani kushoto ni makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement
Sanga akiwa na kocha huyo, kocha huyo alikuwa
akiifundisha APR ya Rwanda.
Loading...
Post a Comment