Jana wakati wa michezo ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar es Salaam, Kijana mmoja Mpiga picha (Jina Kapuni ) akiwa na kombe mfano wa la Kagame akipiga washabiki picha kabla ya mchezo wa pili kati ya Yanga Vs APR ya Rwanda
Nani hinoo aka Blogger , pembeni ni Mnazi na mdau wa Dar Young African Mh: Michael Yona KIBINDU ,akicheki na kusifu ubunifu wa kijana huyo uwanjani , SAFI SANA KIJANA .....
Nani hinoo aka Blogger , pembeni ni Mnazi na mdau wa Dar Young African Mh: Michael Yona KIBINDU ,akicheki na kusifu ubunifu wa kijana huyo uwanjani , SAFI SANA KIJANA .....
Post a Comment