Tarehe 30 June 2012 katika kanisa la Kristu Mfalme parokia ya Tabata mtoto Benedict J Baraka alikuwa ni miongoni mwa watoto waliobatizwa , pichani akiwa amebebwa na Baba yake wa Ubatizo Ndugu Enock Kivelege ambaye amesoma na baba wa mtoto Ndugu Baraka Thonya Kasita Seminary mwaka 1995/98,kwa mbali wazazi wa mtoto wakitabasamu. Ilikuwa ni siku ya furaha kwa familia na zaidi wanamshukuru Mungu kwa zawadi hii. KWA NIABA YA BLOG HII NINAMPONGEZA MTOTO BENEDICT MUNGU AMTUNZE.
Loading...
Post a Comment