Social Icons

Loading...

Kombe la Kagame labaki nchini, Azam na Yanga zatinga fainali

Vilabu  vya  soka  Azam  na  Yanga   za Dar  es Salaam  zimetinga  fainali baada ya kushinda  katika michezo  yao  ya nusu  fainali   kombe la Kagame  2012 /13 dhidi  ya    Vita Club  na  APR .Wakati  Azam imefanikiwa  kuifungashia  virago   Vita Club toka DRC  kwa  magoli  2 kwa  1, Yanga  imeifunga 1 -0 APR  ya  Rwanda.
 Kikosi  cha  Dar  es  Salam  Young  African kilichoivurumishia  APR  ya  Rwanda 1-0

Kikosi  cha  Azam  FC kilichoibanjua  goli  2 -1  timu  ngumu  na  yenye soka  la  kitabuni  AS  VITA  Club toka   kwa Mzee  Kabila.


Wachezaji  wa  Azam  wakishangilia  moja  ya  goli  walolifunga  dhidi ya  Vita  Club toka  DRC.
 Sehemu  ya  washabiki  wa  Yanga  wakifuatilia  mechi  dhidi  ya  APR  ya  Rwanda.
  Mchezaji Dan Wagaluka wa timu ya APR ya Rwanda, akiumiliki mpira mbele ya Hamis Kiiza wa Yanga, wakatawa mchezo wa nusu fainali wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.



Duuu , Bloger  naye  ndani  ya  National  Stadium  akifuatilia  mchezo...

Blogger  akipata  tathimini  toka  kwa  Mdau  na  shabiki  wa  Yanga  Mh:  Michael  Yona KIBINDU .



author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

1 comments:

I knew this article and i am really interest in this post and site. So i need some other important article in this site,because i want to busy at this site.

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top