Kufuatia kuzama kwa meli ya Mv Skagit Waziri wa SMZ mwenye dhamana ya miundombinu na usafirishaji Waziri Hamad Masoud Hamad amejiuzulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, ameridhia kujiuzulu kwa Waziri huyo na amemteua Mhe. Rashid Seif Suleiman (Ziwani, CUF) kushika nafasi hiyo, amesema uamuzi wa kujiuzulu kwa Mhe Hamad ni wake binafsi.
Source : Radio one stereo Breaking News Alert.

Post a Comment