Dr Ulimboka akiwa katika moja ya mikutano na madaktari wenzake. |
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka Stiven ametekwa majira ya saa sita usiku jana na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.
Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji
Tizama picha
Source: http://www.jamiiforums.com
Post a Comment