Nyumba nzuri na ya kisasa inapangishwa iko TEGETA njia ya barabara kupitia KIWANDA CHA SARUJI WAZO HILL eneo la mivumoni barabara ya kuelekea madale (Kituo cha container) Kwa mawasiliano zaidi piga simu no: 0754 093448 au 0715 093448 Mr. Alex. (Hakuna HAJA ya dalali)Muonekano kwa Upande wa nyuma
Upande wa nyuma ( Mlango wa kitchen)
Upande wa mbele ( lango kuu )
Mwonekano halisi na kwa mbali mlango wa garage .
Tanesco kama kawaida .
Iko katika hali nzuri na Bei ni Maelewano wasiliana na mhusika Mr Alex kwa namba
0754 093448 au 0715 093448 .




Post a Comment