Bi Hawa Ngulume, aliyewahi kuwa
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Bagamoyo na Mbarali, amefariki dunia jijini
Dar es Salaam leo asubuhi. Mama Ngulume amekuwa akisumbuliwa na maradhi
ya kansa kwa kipindi kirefu na mauti yamemfika akiwa katika hospitali
ya Lugalo jijini Dar.Kwa
kujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana taratibu za
mazishi zinaandaliwa na taarifa kamili itatolewa hapo baadaye.
Source : Radio One Breaking News Alert.
Source : Radio One Breaking News Alert.
Post a Comment