Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka alizowajalia Familia ya Mr & Mrs Mniko a.k.a Mchwali , mdau huyo amewahi kufanya kazi kwa nyakati tofauti UCC tawi la Mwanza, Plan International Geita, SITA Group of companies Dar es Salaam kisha akaamua kutimukia jiji la Adelaide, South Australia ambako ndiko anaishi kwa sasa yeye pamoja na familia yake.- HONGERENI SANA.
Mdau Mniko akiwa amempakata mtoto SelishaLoading...
Post a Comment