Wiki hii Jeshi la wananchi la Tanzania kikosi cha wanamaji linaendesha zoezi/ Onesho la namna ya kupambana na majanga ya ajali za majini katika Kivuko cha Kigamboni, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya majeshi nchini 1 September .
Waathirika wa ajali wakiwa kati kati ya mkondo wa bahari , wakisubiri kuokolewa
Mfano wa ajali ya majini, waathirika wakitapatapa kuhitaji msaada wa uokozi.
Boti ya jeshi ikielekea sehemu ya tukio tayari kwa uokozi.
Feri - Kigamboni
Boti ikiwa inaondoka eneo la tukio baada ya uokoaji kukamilika.

Post a Comment