Bishop Emmanuel
Lazaro aliyekuwa Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies Of God kwa zaidi ya Miaka
26 amefungua Kongamano la Udhihirisho siku ya Jana Katika Kanisa la Living
Water Centre (LWC) almaarufu kama "Makuti Kawe".
Semina hiyo iliyoanza siku ya Jana Mpaka Jumapili itakuwa na Wanenaji kutoka Ndani na Nje ya nchi ya Tanzania chini ya Mchungaji Mwenyeji wa Mahali hapo, Apostle Onesmo Ndegi na Apostle Lilian Ndegi.
Watu Wote Mnakaribishwa katika Semina hiyo inayoendelea leo kuanzia Saa 3 Asubuhi Mpaka jioni kila siku Mpaka siku ya Jumapili tarehe 01 July 2012, Njoo uone Udhihirisho wa Nguvu za Mungu Kupitia neno lake.

Post a Comment