Social Icons

Loading...

Friends On Friday "FoF" Amsha Amsha Kufanyika tarehe 31 January, 2014

FoF Amsha Amsha hii hapa tayari...Ile event ya Friends On Friday-FoF ni tarehe 31 January, 2014 katika Kiwanja cha nyumbani Tamal Hotel kuanzia saa 1 jioni mpaka baadae. Mtupio wa Safari hii "Yellow and Black" Njoo Upate Muziki wa Injili, Chakula Cha Jioni, Mafundisho Ya maisha pamoja na burudani nyingine.

Friends On Friday ni kwa ajili ya kila Mmoja sio watu maalum. Safari hii ndani ya FoF Amsha Amsha burudani ya Muziki Itaongozwa na Kundi maarufu la Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama, njoo usikie zile nyimbo live za "Ndani Ya Safina", "Simba Wa Yuda" na nyingine nyingi pamoja na Mpya Walizozindua Juzi kati. Mwanadada Angel Benard na Wimbo Wake 'I need You to Reign" na kali zingine zitakuwa live, huku unapata burudani unapata chakula cha jioni kutoka kwenye hotel pamoja na kinywaji baridi mezani.

Mwana Saikolojia Chris Mauki atakuwepo kufanya Live Talk kuhusiana na "Kujitambua Kisaikolojia" njoo wewe na rafiki yako, usimwache akalala huu ni mwaka wa kuamka na FoF Amsha Amsha.

Haya yote kwa gharama ya shilingi 15,000 tu. Ukihitaji maelezo  piga  simu  0713 494110
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top